Usikuwe na Woga!
ASUBUI
-
3:30 (9:30) Muziki
-
3:40 (9:40) Wimbo Na. 73 na Sala
-
3:50 (9:50) Yehova Anatufanya Tusikuwe na Woga
-
4:05 (10:05) Hotuba Yenye Sehemu Ine: Ukuwe Bila Woga Kama . . .
-
Enoko
-
Musa
-
Yehoshafati
-
Petro
-
-
5:05 (11:05) Wimbo Na. 69 na Matangazo
-
5:15 (11:15) Tusikuwe na Woga Katika Mahubiri
-
5:30 (11:30) Hotuba ya Ubatizo
-
6:00 (12:00) Wimbo Na. 48
KISHA MIDI
-
7:10 (13:10) Muziki
-
7:20 (13:20) Wimbo Na. 63 na Sala
-
7:30 (13:30) Hotuba ya Watu Wote: Uunge Mukono Ibada ya Kweli
-
8:00 (14:00) Kifupi cha Munara wa Mulinzi
-
8:30 (14:30) Wimbo Na. 76 na Matangazo
-
8:40 (14:40) Hotuba Yenye Sehemu Ine: Umuige Kristo kwa Kutenda Bila Woga Wakati Unapambana na Mikazo
-
Katika Familia
-
Kwenye Masomo
-
Kwenye Kazi
-
Kwenye Unaishi
-
-
9:40 (15:40) Kama Hauna Woga ‘Utapewa Zawabu kwa Wingi’
-
10:15 (16:15) Wimbo Na. 119 na Sala