ONYESHA Vitabu vya Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Rutu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Esta Yobu Zaburi Mezali Muhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Maombolezo Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki Matayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorinto 2 Wakorinto Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Watesalonike 2 Watesalonike 1 Timoteo 2 Timoteo Tito Filemoni Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Kitabu cha Amosi Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Habari Zenye Kuwa Ndani 1 Amosi anapokea ujumbe kutoka kwa Yehova (1, 2) Hukumu kwa sababu ya kuasi tena na tena (3-15) Siria (3-5), Ufilisti (6-8), Tiro (9, 10), Edomu (11, 12), Amoni (13-15) 2 Hukumu kwa sababu ya kuasi tena na tena (1-16) Moabu (1-3), Yuda (4, 5), Israeli (6-16) 3 Kutangaza hukumu ya Mungu (1-8) Mungu anafunua jambo lake la siri (7) Ujumbe wa hukumu juu ya Samaria (9-15) 4 Ujumbe wa hukumu juu ya ngombe wa Bashani (1-3) Yehova anachekelea ibada ya uongo ya Israeli (4, 5) Israeli anakataa nizamu (6-13) “Ujitayarishe ili kukutana na Mungu wako” (12) ‘Mungu anajulisha mwanadamu mawazo Yake ni nini’ (13) 5 Israeli ni kama bikira mwenye ameanguka (1-3) Mumutafute Yehova na muendelee kuishi (4-17) Muchukie mabaya, mupende mema (15) Siku ya Yehova itakuwa siku ya giza (18-27) Zabihu za Israeli zinakataliwa (22) 6 Ole kwa watu wenye hawajali! (1-14) Vitanda vya pembe za tembo; mabakuli ya divai (4, 6) 7 Maono yenye kuonyesha kwamba mwisho wa Israeli unakaribia (1-9) Nzige (1-3), moto (4-6), kamba ya kupima usawa (7-9) Amosi anaambiwa aache kutoa unabii (10-17) 8 Maono ya kitunga cha matunda ya kipindi cha joto (1-3) Wakandamizaji wanalaumiwa (4-14) Njaa ya kiroho (11) 9 Hukumu za Mungu haziepukike (1-10) Kibanda cha Daudi kitasimamishwa (11-15) YENYE KUTANGULIA ENDELEA CHAPA TUMIA WENGINE TUMIA WENGINE Amosi—Habari Zenye Kuwa Ndani BIBLIA—TAFSIRI YA ULIMWENGU MUPYA (YENYE ILIREKEBISHWA YA 2018) Amos—Outline of Contents Kiswahili (Congo) Amos—Outline of Contents https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt Amosi