Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Slovakia

  • Štrbské Pleso, Slovakia​—Kutoa trakti Ni Nani Hasa Anayeuongoza Ulimwengu?

Taarifa Fupi—Slovakia

  • 5,427,000—Idadi
  • 11,333—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 135—Makutaniko
  • 1 kwa 485—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mahakama Katika Jamhuri ya Cheki na Slovakia Zawaondolea Mashtaka Waabudu Wenzetu

Kuanzia Mei 1, 2017 hadi Januari 8, 2018, mahakama katika Jamhuri ya Cheki na Slovakia zimewaondolea mashtaka ndugu zetu waliohukumiwa kuwa wahalifu wakati uliopita kwa kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri au kwa kushiriki kazi ya kuhubiri.