Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Liberia

  • Karibu na Monrovia, nchini Liberia​—Kuwaachia watu trakti Uzima Katika Ulimwengu Mpya Wenye Amani

Taarifa Fupi—Liberia

  • 5,613,000—Idadi
  • 8,800—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 150—Makutaniko
  • 1 kwa 706—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Yehova Alituimarisha Katika Kipindi cha Vita na cha Amani

Paul na Anne Crudass wanasimulia jinsi Yehova alivyowategemeza na kuwaimarisha wakati wa vita na majaribu makali.