Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Iceland

  • Iceland Kusini​—Kumhubiria mkulima kwa kutumia kitabu Biblia Inafundisha Nini Hasa? katika lugha ya Iceland

Taarifa Fupi—Iceland

  • 394,000—Idadi
  • 452—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 7—Makutaniko
  • 1 kwa 895—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini