Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Ubelgiji

  • Jabbeke, Ubelgiji​—Kuhubiri ujumbe wa Biblia kwenye maegesho ya magari pembeni mwa barabara inayounganisha nchi za ulaya ya E40

Taarifa Fupi—Ubelgiji

  • 11,764,000—Idadi
  • 26,568—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 330—Makutaniko
  • 1 kwa 446—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini