Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Australia

  • Wollongong, New South Wales, Australia​—Kutoa mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa umma

Taarifa Fupi—Australia

  • 27,317,000—Idadi
  • 71,726—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 717—Makutaniko
  • 1 kwa 384—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

KUSAIDIA JAMII

Kuwapa Wazee Faraja na Tumaini

Mashahidi wa Yehova hutembelea makao mawili ya kuwatunzia wazee nchini Australia.

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—Oceania

Mashahidi wa Yehova wanaohubiri katika maeneo yenye uhitaji mkubwa huko Oceania wamekabilianaje na changamoto wanazopata?

KUSAIDIA JAMII

Mashahidi wa Yehova Wapewa Tuzo kwa Kuwasaidia Wafungwa

Mashahidi tisa wa Yehova wametoa huduma gani bora kwa wafungwa wa gereza moja kubwa nchini Australia?

KAZI YA KUHUBIRI

Kuhubiri Katika Eneo la Mbali​—Australia

Jionee jinsi familia moja ya Mashahidi wa Yehova ilivyotumia juma moja kuwahubiria kweli ya Biblia watu wanaoishi katika eneo la mbali nchini Australia.