WIMBO NA. 74
Shiriki Kuimba Wimbo wa Ufalme!
-
1. Wimbo huu, wa ushindi, wa shangwe;
Wamtukuza Yehova Mungu.
Na maneno yanahimiza watu,
Imba nasi; wimbo wa Ufalme:
(KORASI)
‘Abuduni Mungu nyote,
Mwana Wake, Atawala.
Jifunzeni wimbo mpya wa ’Falme.
Yehova Mungu mmwinamie.’
-
2. Tunaimba, habari za Ufalme.
Kristo Yesu; atawala juu.
Taifa jipya lilitabiriwa,
Kristo Yesu lamkaribisha:
(KORASI)
‘Abuduni Mungu nyote,
Mwana Wake, Atawala.
Jifunzeni wimbo mpya wa ’Falme.
Yehova Mungu mmwinamie.’
-
3. Wimbo huu ni rahisi kujua.
Uko wazi; unachangamsha.
Duniani, umati umejua,
Nao pia waita wengine:
(KORASI)
‘Abuduni Mungu nyote,
Mwana Wake, Atawala.
Jifunzeni wimbo mpya wa ’Falme.
Yehova Mungu mmwinamie.’
(Ona pia Zab. 95:6; 1 Pet. 2:9, 10; Ufu. 12:10.)