Aprili 15-21
ZABURI 29-31
Wimbo 108 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Nidhamu Inaonyesha Kwamba Mungu Anatupenda
(Dak. 10)
Yehova aliuficha uso wake Daudi alipokosa kutii (Zb 30:7; it-1 802 ¶3)
Daudi alitubu na alimsihi Yehova amwonyeshe kibali (Zb 30:8)
Hasira ya Yehova kumwelekea Daudi ilikuwa ya muda tu (Zb 30:5; w07 3/1 19 ¶1)
JAMBO LA KUTAFAKARI: Mtu aliyetengwa na ushirika anaweza kunufaikaje kutokana na nidhamu aliyopewa na kuonyesha kwamba ametubu? —w21.10 6 ¶18.
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Zb 31:23—Yehova anamlipaje vilivyo mtu anayeonyesha kiburi? (w06 5/15 19 ¶13)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Zb 31:1-24 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 1) MAHUBIRI YA UMMA. Zungumza kifupi na mtu mwenye shughuli nyingi. (lmd somo la 5 jambo kuu la 3)
5. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwonyeshe mama video kwa ajili ya watoto na umweleze jinsi ya kupata video nyingine. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)
6. Kufuatia Upendezi
(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. Mwalike mtu ambaye alikataa kujifunza Biblia zamani aanze kujifunza. (lmd somo la 8 jambo kuu la 3)
7. Kufanya Wanafunzi
(Dak. 4) lff somo la 14 jambo kuu la 5 (th somo la 6)
Wimbo 45
8. Kwa Nini Tuna Imani . . . Katika Upendo wa Mungu
(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:
Simulizi hili linatufundisha nini kuhusu upendo wa Yehova?
9. Ripoti ya 2024 ya Idara ya Usanifu-Majengo na Ujenzi
(Dak. 8) Hotuba. Onyesha VIDEO.
10. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 8 ¶13-21