Januari 28–Februari 3
MATENDO 27-28
Wimbo 129 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Paulo Anasafiri Kwenda Roma”: (Dak. 10)
Mdo 27:23, 24—Malaika alimwambia Paulo kwamba wote waliosafiri naye kwenye meli wangeokoka dhoruba (bt 208 ¶15)
Mdo 28:1, 2—Meli iliyombeba Paulo ilivunjika kwenye kisiwa cha Malta (bt 209 ¶18; 210 ¶21)
Mdo 28:16, 17—Paulo aliwasili Roma akiwa salama (bt 213 ¶10)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Mdo 27:9—“Kipindi cha kufunga kwa Siku ya Kufunika Dhambi” kilikuwa nini? (“kufunga kwa Siku ya Kufunika Dhambi” habari za utafiti Mdo 27:9, nwtsty)
Mdo 28:11—Kwa mstari huu kutaja kuhusu sanamu iliyokuwa mbele ya meli hiyo kunathibitisha nini? (“Wana wa Zeu” habari za utafiti Mdo 28:11, nwtsty)
Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?
Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 27:1-12 (th somo la 5)
BORESHA HUDUMA YAKO
Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.
Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)
Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 165-166 ¶16-17 (th somo la 3)
MAISHA YA MKRISTO
“Paulo Alimshukuru Mungu na Kujipa Moyo”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa “Chuma Hunoa Chuma”—Kisehemu. Watie moyo wote watazame video hiyo yote.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 52
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 93 na Sala