Privacy Settings

To provide you with the best possible experience, we use cookies and similar technologies. Some cookies are necessary to make our website work and cannot be refused. You can accept or decline the use of additional cookies, which we use only to improve your experience. None of this data will ever be sold or used for marketing. To learn more, read the Global Policy on Use of Cookies and Similar Technologies. You can customize your settings at any time by going to Privacy Settings.

Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Agosti 15-21

ZABURI 102-105

Agosti 15-21
  • Wimbo 80 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g16.4 10-11—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g16.4 10-11—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 164-166 ¶3-4—Msaidie mwanafunzi aone jinsi anavyoweza kutumia habari hiyo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 91

  • Usisahau Kamwe Mambo Ambayo Yehova Amekufanyia (Zb 103:1-5): (Dak. 15) Mazungumzo. Anza kwa kuonyesha video Nilichoshwa na Maisha Yangu inayopatikana kwenye jw.org/sw. (Tafuta kwenye KUTUHUSU > UTENDAJI.) Kisha mzungumzie maswali yafuatayo: Tuna sababu gani za kumsifu Yehova? Kwa sababu ya wema wa Yehova, tutarajie baraka gani wakati ujao?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 22 ¶1-13

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 131 na Sala