Idara ya Sheria
Hatuna Uhusiano wa Wakili na Mteja. Hakuna uhusiano wa wakili na mteja unaoanzishwa mtu anapowasiliana na idara yetu ya sheria au wakili katika idara hiyo kupitia barua pepe au kwa njia nyingine katika tovuti yetu.
Hatudumishi Siri Kuhusiana na Mawasiliano. Hatumhakikishii yeyote kuwa tutadumisha siri kuhusiana na mawasiliano yanayofanywa na idara ya sheria au na wakili katika idara yetu kupitia barua pepe au kwa njia nyingine katika tovuti yetu.
Makao Makuu ya Ulimwenguni Pote