JUNI 10, 2024
URUSI
NduguIgor Kasabov Amehukumiwa Kifungo cha Nje cha Miaka Miwili
Mei 14, 2024, Mahakama ya Wilaya ya Oktyabrskiy iliyo Tambov ilimhukumu Ndugu Igor Kasabov. Alihukumiwa kifungo cha nje cha miaka mwili. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.
Maelezo Mafupi Kumhusu
Tuna uhakika kwamba Yehova ataendelea kuwabariki Igor na Irina kadiri wanavyoendelea kumtegemea Yeye ili awape nguvu.—Habakuki 3:19.
Mfuatano wa Matukio
Aprili 11, 2023
Nyumba ilifanyiwa Msako. Na wakachukua vifaa vyao vya kielektroni
Aprili 12, 2023
Kesi ya uhalifu ilianzishwa
Machi 28, 2024
Kesi ya uhalifu ilianza
Mei 14, 2024
Hukumu ya kifungo cha nje cha miaka miwili ilitolewa