Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mashahidi wa Yehova Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
-
Mashahidi wa Yehova—257,672
-
Makutaniko—4,385
-
Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo uanofanywa kila mwaka—1,243,439
-
Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi wa watu nchini—1 kwa 402
-
Idadi ya watu—98,152,000
JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO
Ndugu Kaskazini-Mashariki mwa Kongo Wakimbia Vita
Licha ya kupoteza makao, Mashahidi wa Yehova waliokimbia wanakutana kwa ajili ya ibada na wanashiriki kwa bidii tumaini lao linalotegemea Biblia.
JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO
Mashahidi wa Yehova Watoa Msaada kwa Watu Walioathiriwa na Vita Nchini Kongo
Mashahidi wa Yehova wanatoa misaada na kuwategemeza kiroho waabudu wenzao walioathiriwa na vita vinavyoendelea katika eneo la Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Yakataza Ubaguzi wa Kidini Shuleni
Wenye mamlaka walitenda kwa uthabiti ili kukataza shule zinazoendeshwa na makanisa kupuuza haki za wanafunzi. Zaidi ya watoto 300 wa Mashahidi wamefukuzwa shuleni isivyo haki kwa misingi ya kidini.